Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Watu10 wahukumia miaka 15 jela kwa kuwabaka wafungwa wa kike DRC, watu29 wauawa Liberia

Imechapishwa:

Makala ya juma hili imeangazia hatua ya mahakama moja kule DRC iliwahukumu kifungo cha miaka 15 jela kwa makosa ya kuwabaka wanawake wafungwa katika jela kuu la Kasapa kwenye mji wa Lubumbashi jimboni Katanga mashariki ya nchi hiyo. Uhaba wa mafuta nchini Uganda waisababishia serikali kuondoa marufuku upimaji na malipo ya lazima ya Covid-19 kwa madereva lakini pia mambo mengine mengi katika baadhi ya maeneo ya duniani..

 Mahakama ya mjini Lubumbashi katika kata Katuba-Kenya
Mahakama ya mjini Lubumbashi katika kata Katuba-Kenya © Photo Kahozi Kosha/ AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.