Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

DRC na Kenya kusaini mikataba ya kidiplomasia, mazishi ya rais Idris Debi huko Ndjamena

Imechapishwa:

Kenya na DRC zilitiliana sahini makubaliano ya kidiplomasia, kiusalama na kibiashara, Uganda yajibu madai ya DRC mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki ya ICJ huko Hague, Rais Samia amehutubia bunge na kutoa dira ya serikali yake, Mazishi ya rais wa Chad Idriss Déby Itno mbele ya viongozi kadhaa wa dunia, Urusi yaanza kuondoa vikosi vyake kutoka mipaka ya Ukraine, lakini pia siasa za MarekaniUngana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kupata mengi zaidi

Rais w DRC, Félix-Antoine Tshisekedi Tshilombo akimkaribisha mwenzake Uhuru Kenyatta, Rais wa Kenya, katika ziara yake ya kiserikali ya saa 48 jijini Kinshasa.
Rais w DRC, Félix-Antoine Tshisekedi Tshilombo akimkaribisha mwenzake Uhuru Kenyatta, Rais wa Kenya, katika ziara yake ya kiserikali ya saa 48 jijini Kinshasa. © Présidence RDC / twitter.com
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.