Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Michuano ya AFCON yaanza nchini Cote Dvoire, nani ataibuka mshindi ?

Imechapishwa:

Michuano ya soka kuwania taji la mataifa ya Afrika maarufu kama AFCON, inaanza leo nchini Cote Dvoire. Hii ni mara ya kwanza kwa mashindano haya makubwa kurejea kwenye nchi hiyo ya Afrika Magharibi kwa mara ya kwanza baada ya miaka 40. Kuna timu 24 zinazotafuta ubingwa wa taji hili, ikiwemo Taifa Stars ya Tanzania na Leopard ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoka Afrika Mashariki na Kati. Wachambuzi wetu Paul Nzioki, George Ajowi na Jason Sagini, akiwa  Abidjan, wnachambua.

Michuano ya AFCON 2023, inayoanza Januari 13 2023 nchini Cote Dvoire
Michuano ya AFCON 2023, inayoanza Januari 13 2023 nchini Cote Dvoire © FMM-RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.