Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mashindano ya Safari Rally yaendelea kutifua vumbi nchini Kenya

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na mashindano ya Kimataifa ya kukimbiza magari nchini Kenya, Safari Rally, klabu ya soka ya Yanga nchini Tanzania, yampata kocha mpya na matukio yanayojiri viwanjani kote duniani.

Sébastien Ogier raia wa Ufaransa, mashindano ya kukimbiza magari
Sébastien Ogier raia wa Ufaransa, mashindano ya kukimbiza magari REUTERS - THOMAS MUKOYA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.