Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Tanzania yamteua  Adel Amrouche kuwa kocha mpya wa Taifa Stars

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tuliyokuandalia Jumamosi hii ni pamoja na Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) kumteua  Adel Amrouche raia wa Ubelgiji, kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya mchezo wa soka, michuano ya soka kuwania taji la Afrika kwa wachezaji wasiozidi miaka 20 na madai ya  ubakaji dhidi ya Achraf Hakimi beki wa Morocco na PSG. 

Kocha mpya wa timu ya taifa ya Tanzania Adel Amrouche
Kocha mpya wa timu ya taifa ya Tanzania Adel Amrouche AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.