Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Michuano ya CHAN yaendelea kushika kasi nchini Algeria

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tunayojadili ni pamoja na kuendelea kwa michuano ya soka kutafuta ubingwa wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka katika ligi za nyumbani CHAN, tuzo ya mwanamichezo bora nchini Kenya, SOYA na maandalizi ya mechi kati ya Arsenal na Manchester United nchini Uingereza.

Michuano ya kuwania taji la CHAN
Michuano ya kuwania taji la CHAN © Pierre René-Worms/RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.