Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Michuano ya CHAN yaanza nchini Algeria, Morocco yapata changamoto

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tunayoangazia ni pamoja na michuano ya soka CHAN, kuwania taji la Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka nyumbani iliyoanza nchini Algeria. Pambano la masumbwi kati ya wanabondia kutoka Kenya na Tanzania, inayofanyika jijini Nairobi.

Michuano ya CHAN yaanza nchini Algeria, kwa wachezaji wanaocheza soka katika ligi za nyumbani
Michuano ya CHAN yaanza nchini Algeria, kwa wachezaji wanaocheza soka katika ligi za nyumbani © Pierre René-Worms / RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.