Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Didier Deschamps kuendelea kuwa kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa

Imechapishwa:

Didier Deschamps ametangaza kuwa ataendelea kuwa kocha wa timu ya taifa ya soka ya Ufaransa hadi michuano ijayo ya kombe la dunia mwaka 2026. Tunajadili hili na mengine mengi katika Makala ya leo ya Jukwaa la Michezo.

Kocha wa timu ya taifa ya mchezo wa soka ya  Ufaransa  Didier Deschamps
Kocha wa timu ya taifa ya mchezo wa soka ya Ufaransa Didier Deschamps © AP/Christophe Ena
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.