Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mataifa mbalimbali yaendelea kupambana kushinda kombe la dunia

Imechapishwa:

Michuano ya soka, kuwania taji la dunia inaendelea kushika kasi nchini Qatar, huku mataifa ya Afrika yakianza vibaya. Hata hivyo, Senegal ilishinda mechi yake ya pili dhidi ya wenyeji Qatar.

Mechi kati ya Ureno na Ghana
Mechi kati ya Ureno na Ghana REUTERS - CARL RECINE
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.