Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

TP Mazembe yatupwa nje ya mashindano ya klabu bingwa Afrika

Imechapishwa:

Klabu ya soka ya TP Mazembe kutoka DRC, imetupwa nje ya mashindano ya kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika. Somalia na Sudan Kusini, nazo zimefuzu katika michuano ya bara Afrika, mchezo wa soka kwa wachezaji wasiozidi miaka 17.

Joel Kimwaki, beki wa siku nyingi wa TP Mazembe
Joel Kimwaki, beki wa siku nyingi wa TP Mazembe CARL DE SOUZA / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.