Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Ons Jabeur ashindwa kunyakua taji la Wimledon baada ya kulemewa na Elena Rybakina

Imechapishwa:

Elena Rybakina kutoka Kazakhstan  ndio bingwa wa mwaka huu wa mashindano ya mchezo wa Wimledon nchini Uingereza, kwa upande wa wanawake, baada ya kumshinda Ons Jabeur raia wa Tunisia kwa seti za 3-6, 6-2, 6-2.Tunachambua kwa kina.

Ons Jabeur kutoka Tunisia alemewa katika mchuano wa fainali ya Wimbledon  baada ya kumshinda Elena Rybakina kutoka Kazakhstan.
Ons Jabeur kutoka Tunisia alemewa katika mchuano wa fainali ya Wimbledon baada ya kumshinda Elena Rybakina kutoka Kazakhstan. REUTERS - MATTHEW CHILDS
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.