Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Michuano ya kuwania taji la wanawake barani Afrika yaanza nchini Morocco

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale utakayoyasikia ni pamoja na kuanzia kwa michuano ya soka kuwania taji la Afrika kwa upande wa wanawake nchini Morocco.Uganda, inawakilisha ukanda wa Afrika Mashariki.Ratiba ya leo: Morocco vs Burkina Faso.Nini nafasi ya Uganda kwenye michuano hii ?

Timu ya taifa ya Nigeria ya wanawake
Timu ya taifa ya Nigeria ya wanawake Premium Times Nigeria
Matangazo ya kibiashara

Watangazaji wako Jayson Sagini na Paulo Nzioki.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.