Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Wydad Casabalanca yanyakua taji la klabu bingwa barani Afrika

Imechapishwa:

Leo kwenye Jukwaa la Michezo, tunakuletea uchambuzi wa michuano ya soka kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika, michuano ya CECAFA kwa upande wa wanawake, mashindano ya mchezo wa Tennis, kuwania taji la French Open, miongoni mwa matukio mengine.

Klabu ya Wydad Casablanca, mabingwa wa soka barani Afrika
Klabu ya Wydad Casablanca, mabingwa wa soka barani Afrika © AFP - -
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.