Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Vlabu vya soka barani Ulaya vyatishia kuwazuia wachezaji wa Afrika

Imechapishwa:

Miongoni mwa matukio tuliyokuandalia  ni pamoja na:-Vlabu vya soka, barani Ulaya vyatishia kuwazuia wachezaji wa Afrika kurudi nyumbani kushiriki kwenye michuano ya mataifa bingwa barani Afrika nchini Cameroon, kuanzia mwezi Januari.Kirusi kipya cha Omicron chaanza kutatiza mechi za ligi kuu nchini Uingereza.

Cameroon itakuwa mwenyeji wa michuano ya AFCON 2022
Cameroon itakuwa mwenyeji wa michuano ya AFCON 2022 AFP - DANIEL BELOUMOU OLOMO
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.