Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Rwanda kuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya kukimbiza baiskeli mwaka 2025

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale utakayoyasikia jioni hii ni pamoja na:-Msimu mpya wa ligi kuu ya soka waanza nchini Kenya.-Nchini Tanzania Yanga na Simba wanachuana katika mechi ya ngao ya jamii.-Rwanda kuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya kukimbiza basikeli mwaka 2025.-Chelsea na Manchester United zafungwa katika mechi za ligi kuu zinazoendelea nchini Uingereza.

Mmoja wa wakimbiza Baiskeli nchini Rwanda akishiriki kwenye mashindano yaTour de Rwanda
Mmoja wa wakimbiza Baiskeli nchini Rwanda akishiriki kwenye mashindano yaTour de Rwanda © RFI/Thomas de Saint-Léger
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.