Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Marekani yatangaza vikwazo dhidi ya maafisa wa Somalia

Imechapishwa:

Serikali ya Marekani imetangaza vikwazo dhidi ya maafisa wa Somali kwa tuhuma za kufadhili ugaidi, suala ambalo limeshuhudiwa katika mataifa mengine kama vile DRC.Unafikiri hatua kama hizi zinachangia kukabilianana ugaidi? Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Bendera ya Marekani.
Bendera ya Marekani. STAN HONDA / AFP
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.