Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mzozo wa jeshi la Pamoja nchini Sudan Kusini

Imechapishwa:

Makamo rais wa kwanza nchini Sudan Kusini, Riek Machar, amekanusha ripoti ya yeye pamoja na rais Salva Kiir kuunda jeshi la pamoja nchini humo, kwa mjibu wa mkataba wa amani wa mwaka 2018.Unafikiria ni nini kuchelewesha kuundwa kwa jeshi la pamoja Sudan Kusini.Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Salva Kiir and Riek Machar are old rivals who have fought and made up multiple times
Salva Kiir and Riek Machar are old rivals who have fought and made up multiple times AFP/File
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.