Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Historia ya kabila la Wadigo wa Kenya na Tanzania katika Makala Changu Chako na Florence Kiwuwa

Imechapishwa:

Katika Makala haya,Florence Kiwuwa mtangazaji wa maswala ya Historia na utamaduni kutoka RFI Kiswahili anakuletea historia ya wadigo wa Kenya na Tanzania  na kwenye le Parler francophone tutaangazia kuhusu maonyesho yake Dj Click katika ukumbi wa  Alliance Francaise ya Arusha nchini Tanzania. Na kwenye Muziki tutamuangazia mwanamuziki Koffi Olomide kutokea DRC.

Msani wa miondoko ya rhumba raia wa DRC Koffi Olomidé
Msani wa miondoko ya rhumba raia wa DRC Koffi Olomidé AFP - PIUS UTOMI EKPEI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.