Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Mwanahabari kutoka DRC ashinda Toleo ka kumi la tuzo Ghislaine Dupont na Claude Verlon

Imechapishwa:

Makala haya yanazungumzia kuhusu tolea la 10 la tuzo ya Ghislaine Dupont na Claude Verlon ambalo hutolewa kila Novemba 02 ya kila mwaka na RFI ili kuwaenzi waandishi wa habari hao wawili waliofariki miaka 10 iliopita huko Kidal kaskazini mwa Mali baada ya kutekwa na wanajihadi, ambapo Joseph Kahongo wa (RDC) na Ange J. Agbla (Bénin) ndie washindi wa toleo hili la kumi. ambatana naye Ali Bilali kudahamu mengi zaidi.

Washindi wa tuzo "Ghislaine Dupont na Claude Verlon msimu wa mwaka" 2023 mjini Abidjan, Joseph KAHONGO (DRC), mwandishi wa habari mshindi, na Ange Joël AGBLA (Benin), mshindi wa fundi, Pamoja na Marie-Christine Saragosse na Jean-Marc Four.
Washindi wa tuzo "Ghislaine Dupont na Claude Verlon msimu wa mwaka" 2023 mjini Abidjan, Joseph KAHONGO (DRC), mwandishi wa habari mshindi, na Ange Joël AGBLA (Benin), mshindi wa fundi, Pamoja na Marie-Christine Saragosse na Jean-Marc Four. © RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.