Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Historia ya siku ya kupinga dhulma dhidi ya wanahabari na utoaji wa tuzo ya Ghislaine Dupont

Imechapishwa:

Leo Octoba 29 kwenye Makala Changu chako Chako Changu tunazungumzia kuhusu historia ya Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Kutokujali kwa Uhalifu Uliotendwa dhidi ya Wanahabari ambayo huadhimishwa kila Novemba 2. Na kwenye le parler francophone kama kawaida nitakujuza nini kinachojiri kwenye vituo vya Alliance francaise ya Nairobi, Dar es Salaam na Arusha, na kwenye Muziki ninakuletea mwanamuziki Jay Melody kutoka nchini Tanzania. Bienvenue et Bon Dimanche, yaani Karibu na Jumapili njema.

Ali Bilali na Vital Mugisho ndani ya Studio namba 2 ya RFI Kiswahili Nairobi
Ali Bilali na Vital Mugisho ndani ya Studio namba 2 ya RFI Kiswahili Nairobi © @Benson
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.