Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Siku ya kimataifa ya utamaduni nchini Kenya Octoba 10

Imechapishwa:

Karibu msikilizaji katika makala haya changu chako chako changu Jumapili ya leo ambapo Jumapili ya leo tunazungumzia kuhusu siku ya kitaifa ya utamaduni nchini Kenya ambayo huadhimishwa kila Octoba 10. Na kwenye le parler francophone tutaangazia namna shughuli za kitamaduni zinavyo pamba moto kuelekea mwisho wa mwaka Alliance Francaise ya Arusha, Nairobi na Dar es salaam na kwenye Muziki nitaungana na mwenzangu Benson Waokoli kuzungumzia kumbukumbu ya kifo cha francois Lwambo Lwanzo Maki

Kina mama wakiongozwa na mke wa rais Ruto Bi Rchael Ruto
Kina mama wakiongozwa na mke wa rais Ruto Bi Rchael Ruto © radiotaifa
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.