Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Abu Omar mwanamuziki wa zamani wa muziki wa Densi atambulisha kitabu chake

Imechapishwa:

Ni furaha kukutana nawe kwa mara nyingine tena Jumapili hii katika Makala Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea Msanii wa kitambo wa bendi kutoka Afrika mashariki Abu Omar ambae ameandika kitabu kuzungumzia historia ya muziki wa densi. Kwenye le parler francophone nakupa ratiba ya shughuli kwenye vituo vya Alliance francaise ya Nairobi, na Dar es salaam, na kwenye muziki nakuletea muziki wa Singeli kutoka nchini Tanzania. Mimi ni mtangazaji asiependa makuu Ali Bilali. Binevenue.

Mtangazaji Ali Bilali ndani ya studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi na mwanamuziki Abu Omar
Mtangazaji Ali Bilali ndani ya studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi na mwanamuziki Abu Omar © @George Maina
Matangazo ya kibiashara
Mwanamuziki Abu Omar ndani ya Studio wa RFI Kiswahili jijini Nairobi nchini Kenya
Mwanamuziki Abu Omar ndani ya Studio wa RFI Kiswahili jijini Nairobi nchini Kenya © @George Maina

Abu Omar akiwa studio za RFI na mtangazaji Ali Bilali. Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali

 

 

Abu Omar atambulisha kitabu chake
Abu Omar atambulisha kitabu chake © @George Maina
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.