Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Wapemba wa Kenya wapewa vitambulisho vya uraia baada ya kutambuliwa

Imechapishwa:

Ni furaha kubwa kwangu kukutana nawe kwa mara nyingine tena Jumapili ya leo katika Makala changu Chako Chako Changu, ambapo hivi karibuni rais wa Kenya aliwapa vitambulisho watu kutoka kabila la wapemba miezi kadhaa baada ya kuwaidhinisha kuwa miongoni mwa makabila ya wakenya, na kwenye le parler francophone nitakuletea ratiba ya shughuli kwenye Alliance francaise na Nairobi na Institut francais ya Lubumbashi, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Ferre Golla Mimi ni Ali Bilali

Wapemba kwa muda sasa wamekuwa wakihangaika kwa kukosa vitambulisho vya kitaifa nchini kenya
Wapemba kwa muda sasa wamekuwa wakihangaika kwa kukosa vitambulisho vya kitaifa nchini kenya © Namati -Kenya
Matangazo ya kibiashara

Usikosi pia kumfollow mtangazaji wako katika mitandao ya kijamii ya facebook na Instagram @billy_bilali

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.