Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Sehemu ya pili ya Makala kuhusu Tamasha la Marahaba Music Expo jijini Bujumbura

Imechapishwa:

Naam mskilizaji wa RFI Kiswahili na mpenzi wa Makala changu chako karibu katika sehemu hii ya pili ya Makala kuhusu tamasha la Marahaba Music EXPO lililofanyika huko jijini Bujumbura nchini Burundi ambapo RFI Kiswahili iliwakilishwa nami Ali Bilali mtangazaji wa maswala ya Historia sanaa na Utamaduni. Kumbuka sehemu ya kwanza nilikueleza namna tamasha lilivyokuwa na kuzungumza na wadau mbalimbali akiwemo Mkurugenzi wa Tamasha la Marahaba Music Expo sasa ambatana nami katika sehemu hii ya pili.

Wadau katika mkutano na waandishi wa Habari kwenye Marahaba Music Expo
Wadau katika mkutano na waandishi wa Habari kwenye Marahaba Music Expo © @Ali Bilali
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.