Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Tamasha la Marahaba Music Expo jijini Bujumbura msimu wa 5 lavunja rekodi

Imechapishwa:

Wadau kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni wamekutana jjijini Bujumbura kuanzia Juni 20 hadi Juni 25 katika tamasha la Marahaba Music Expo lililojumuisha wasanii takriban 150 kutoka katika kila kona ya dunia  kushiriki katika tamasha hilo la kimataifa lillilopata mafaanikio makubwa baada ya idadi kubwa ya watu kujitokeza ambapo awamu ya kwanza ilifanyika mjini kati ya pili Kanyosha na ya tatu ilifanyika Kinama. Muandishi wetu wa maswala ya sanaa na utamaduni Ali Bilali alikuwepo

Tamasha la Marahaba jijini Bujumbura awamu ya tatu wilaya ya Kinama
Tamasha la Marahaba jijini Bujumbura awamu ya tatu wilaya ya Kinama © Marahaba
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.