Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Siku kuu ya Muziki ya kila Juni 21 na msanii Katoi wa Tabaka wa kundi la Mijikenda Jazz Band

Imechapishwa:

Karibu katika Makala Changu chako changu Jumapili ya leo ambapo tunazungumzia hasa kuhusu siku kuu ya mUziki ya Juni 21, na msanii Katoi wa Tabaka  na kwenye le parler francophone tutazungumzia kuhusu tole la nne la kuheshimlisha wanamuziki wa Bongo Fleva linaloandaliwa na Alliance francaise ya Dar es salaam, na kwenye Muziki nitakiuletea muziki wa Kataoi wa Tabaka and the Mujikenda Jazz Band mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue et bon reveil matinale.

Msanii kutoka Malindi Katoi wa Tabaka wa kundi la Mijikenda Jazz Band ndani ya studio za RFI Kiswahili
Msanii kutoka Malindi Katoi wa Tabaka wa kundi la Mijikenda Jazz Band ndani ya studio za RFI Kiswahili © @Ali Bilali
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.