Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Muandishi wa vitabu Wanjiru M Thuku wa Kenya azindua kitabo chake, wadau wajitokeza kumuunga mkono

Imechapishwa:

Karibu katika Makala changu chako chako changu, Jumapili ya leo tunazungumzia kuhusu uandishi wa vitabu, tutakuwa naye Bi Wanjiru Othuku aliezindua kitabu chake juma hili, na kwenye le parler Francophone tutazungumzia kuhusu ratiba za shughuli za kitamaduni Alliance Francaise ya Nairobi, na kwenye Muziki nitamzungumzia mwanamuziki Jux kutoka nchini Tanzania, mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue, Karibu, na asubuhi njema, ama bon reveil matinale.

Muandishi wa vitabu Wanjiru M Thuku katika mahojiano na Mtangazaji Ali Bilali wa RFI Kiswahili
Muandishi wa vitabu Wanjiru M Thuku katika mahojiano na Mtangazaji Ali Bilali wa RFI Kiswahili © @Jordy
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.