Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Tamasha la kukuza utamaduni wa watu kutoka kabila la bashi huko Bukavu

Imechapishwa:

Makala haya yanakuletea tamaduni za watu kutoka kabila la washi kupitia tamasha lililoandaliwa ili kuboresha na kukumbusha vizazi vya sasa kuhusu tamaduni zao, hii ikiwa ni awamu ya kwanza ambapo itaendelea kuhusisha pia makabila mengine lengo kuu hasa ni kudumisha mila na tamaduni. Kupitia Makala haya Ali Bilali amezeungumza na Wakili  Placide kueleza zaidi kuhusu tamasha hilo. Usikosi pia kutufollow kwa Instagram @billy_bilali

Watu kutoka kabila la bashi kwenye tamasha la kukuza na kukumbushana tamaduni zao Bukavu.
Watu kutoka kabila la bashi kwenye tamasha la kukuza na kukumbushana tamaduni zao Bukavu. © Maitre Placide
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.