Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Changamoto zilizopo baada ya kurejeshwa kwa vinyago vilivyoporwa na msanii Mbosso

Imechapishwa:

Karibu katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea changamoto zinazoendelea baada ya kurejeshwa kwa vinyago vilivporwa na kupelekwa Ulaya na Marekani, na kwenye Muziki nakuletea mwanamuziki Mbosso kutoka nchini Tanzania.

Muonekano wa onyesho kuu la kwanza: "La grande statuaire Lobi - Les Bois qui murmurent" katika nafasi ya Utawala wa Zamani, Brussels, kwenye hafla ya toleo la 1 la "Cultures - The World Arts Fair".
Muonekano wa onyesho kuu la kwanza: "La grande statuaire Lobi - Les Bois qui murmurent" katika nafasi ya Utawala wa Zamani, Brussels, kwenye hafla ya toleo la 1 la "Cultures - The World Arts Fair". Siegfried Forster / RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.