Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Makala kuhuus uandishi wa vitabu na Marcel Yabili na historia ya Bob Marley

Imechapishwa:

Makala haya Habari rafiki Ali Bilali amezungumza na Marcel Yabili kutoka Lubumbashi nchini DRC kuzungumzia kuhusu uandishi wa vitabu hususan kitabu chake Vraiment Congo une tribu. Amekuletea pia kumbukumbu ya hayati Bob Marley aliefariki Mei 11 miaka 48 iliopita.

Bob Marley, wakati wa tamasha huko Gröna Lund, Stockholm, Sweden.
Bob Marley, wakati wa tamasha huko Gröna Lund, Stockholm, Sweden. Hulton Archive/Getty Images
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.