Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Muandishi wa vitabu Abdourahman Waberi atembelea studio za rfi kiswahili Nairobi

Imechapishwa:

Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo ni spisho kabisa tunazungumzia juu ya maandalizi ya wiki ya Francophonie tumemualika studio muandishi wa vitabu Abdurahamani Waberi raia wa Ufaransa mwenye asili ya Djibouti kuzungumzia hasa kitabu chake Les Etats Unies d’Afrique, na kwenye kipengele cha Muziki tutamzungumzia mwanamuziki Pierrette Adam. Kwenye Makala haya ameshiriki pia mkurugenzi wa rfikiswahili bwana Robert Minangoy. Karibu.

Muandishi wa vitabu Abdoulrahman Waberi akizungumza na Ali Bilali ndani ya Studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi
Muandishi wa vitabu Abdoulrahman Waberi akizungumza na Ali Bilali ndani ya Studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi © @rfikiswahili Robert Minangoy
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.