Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Kurejeshwa kwa urithi wa Kiafrika na mabaki ya binadamu yaliotokana na ukoloni

Imechapishwa:

Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea makala kuhusu kurejeshwa sio tu kwa urithi wa Kiafrika bali pia mabaki ya binadamu yaliyotokana na ukoloni hususan huko DRC. Na kwenye kipengele cha le Palrer francophone tutaangazi ratiba za utamaduni Alliance francaise ya Nairobi na Dar es salaam, kweney muziki nitakuwa naye msanii chipukizi kutoka nchini Kenya anaitwa Lakijoh. Mimi naitwa Ali Bilali, Bienvenue et bon reveil

Msanii kutoka nchinbi Kenya Lakijoh ndani ya Studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi feb 16 2023
Msanii kutoka nchinbi Kenya Lakijoh ndani ya Studio za RFI Kiswahili jijini Nairobi feb 16 2023 © Hillary Ingati RFI Kiswahili
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.