Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Historia ya wanyamwezi na kifo cha msanii wa Afrika kusini AKA

Imechapishwa:

Karibu katika Makala haya ya leo Jumapili tunazungumzia kuhusu Historia ya wanyamwezi moja miongoni mwa makabila ya waswahili nchini Tanzania. Kwenye le Parler francophone tutazungumzia kuhusu ratiba mbalimbali kwenye kituo cha Alliance francaise ya Dar es salaam na Institut francais ya Lubumbashi lakini pia uzinduzi wa Ubalozi mdogo wa Ufaransa mjini Dodoma, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki AKA aliefariki kwa kupigwa risase huko Afrika Kusini mimi ni Ali Bilali Karibu.

Msanii wa Afrika Kusini AKA
Msanii wa Afrika Kusini AKA © AKA facebook
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.