Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Historia ya mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Marekani Martin Luther King Junior

Imechapishwa:

Makala haya Changu Chako Changu Ali Bilali akishirikiana na mtangazaji mwenzake Victor Abuso, wanakuletea Historia ya mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Marekani Martin Luther King Junior aliezaliwa Atlanta, Georgia mnamo Januari 15, 1929 na kuuawa Aprili 4, 1968 huko Memphis, Tennessee. Na kwenye Muziki jumapili hii anakuletea mwanamuziki Arrow Boy kutoka nchini Kenya.

Busayo Taiwo na mkewe Lonneka katika Gwaride la 28 la Mwaka la Martin Luther King Jr. mnamo Januari 17, 2022 huko Houston, Texas.
Busayo Taiwo na mkewe Lonneka katika Gwaride la 28 la Mwaka la Martin Luther King Jr. mnamo Januari 17, 2022 huko Houston, Texas. Getty Images via AFP - BRANDON BELL
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.