Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Siku ya kimataifa ya waalimu wa lugha ya Kifaransa na uzinduzi wa swahilipot Mombasa

Imechapishwa:

Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali ambae amerejea kutoka Mombasa, anakuletea sehemu ya pili ya makala kuhusu siku ya kimataifa ya waalimu wa lugha ya Kifaransa iliofanyika Mombasa nchini Kenya, pamoja na uzinduzi wa kituo cha swahilipot Mombasa na balozi wa Ufaransa nchini Kenya na Somalia  Arnaud Suquet alieambatana na jopo lake huku kundi la Mijikenda Jazz Band likishusha burudani.

Balozi wa Ufaransa nchini Kenya akiambatana na balozi mdogo mjini Mombasa na jopo zima kutoka Ubalozini wakati wa uzinduzi wa kutuo cha swahilipot Mombasa
Balozi wa Ufaransa nchini Kenya akiambatana na balozi mdogo mjini Mombasa na jopo zima kutoka Ubalozini wakati wa uzinduzi wa kutuo cha swahilipot Mombasa © @bilali rfi
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.