Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Historia ya michuano ya kombe la dunia katika mchezo wa soka

Imechapishwa:

Leo, tumekuandalia historia   kuhusu chimbuko la mashindano ya kombe ka dunia, wakati huu Qatar ikiandaa fainali ya mwaka 2022. Kipengele cha Le Parler Francophonie, utafahamu kuhusu Mwalimu bora wa lugha ya Kifaransa kutoka nchini Kenya. Muziki, leo ni zamu yake Hawa Dialo kutoka Mali.

Brazil iliponyakua kombe la dunia mwaka  1970.
Brazil iliponyakua kombe la dunia mwaka 1970. © ullstein bild via Getty Images - ullstein bild
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.