Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Historia ya watu wa kabila la wataita na kifo cha mwanamuziki wa Rwanda Yvan Buravan

Imechapishwa:

Karibu kujiunga nami kwa mara nyingine tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea historia na tamaduni la kabila la wataita, na kwenye kipengele cha Muziki nitakuletea mwanamuziki Yvan Buravan ambae amefariki dunia juma hili huko nchini India. Mimi naitwa Ali Bilali. Bienvenue.

Yvan Buravan.
Yvan Buravan. Anthony Ravera/RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.