Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Kurejeshwa kwa mambo ya kale yalioporwa na wanajeshi wa Uingereza katika miaka ya 1887

Imechapishwa:

Karibu katika makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu, ambapo nitakuletea habari hii ya kurejeshwa kwa mambo ya kale yalioporwa na wanajeshi wa Uingereza katika miaka ya 1887 huko nchini Nigeria na kwenye Muziki nitakuletea Habari ya mwanamuziki Ferre Golla ambae hivi karibuni ameachiwa huru na mahakama nchini Ufaransa. Mimi naitwa Ali Bilali, Bienvenue.

Pendenti ya mraba ya shaba au pambo, mojawapo ya vitu ambavyo Jumba la Makumbusho la Horniman huko London linasema liliporwa kutoka Benin City na wanajeshi wa Uingereza mwaka 1897 na vitarejeshwa kwa serikali ya Nigeria.
Pendenti ya mraba ya shaba au pambo, mojawapo ya vitu ambavyo Jumba la Makumbusho la Horniman huko London linasema liliporwa kutoka Benin City na wanajeshi wa Uingereza mwaka 1897 na vitarejeshwa kwa serikali ya Nigeria. via REUTERS - Horniman Museum and Gardens
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.