Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Historia ya kumbukumbu ya mauaji ya kimabri ya mwaka 1994 nchini Rwanda

Imechapishwa:

Katika makala haya Changu Chako Chako Changu, leo nimekuandalia historia ya mauaji ya Kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda, le Parler Francophone na mwanamuziki Corneille mwenye asili ya Rwanda ambae amekuja na album yake mpya baada ya ukimya wa miaka takriban 10.Miaka 28 Tangu kutokea kwa mauaji ya Kimbari nchini Rwanda, dunia imejifunza nini? Ukizingatia vurugu za jamhuri ya Afrika ya kati, mauaji ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kwengineko.

Rais wa Rwanda Paul Kagame (kushoto) na Mke wa Rais Jeannette Kagame (kulia) wakiwasha moto kwenye Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari ya Gisozi, mjini Kigali, Rwanda, Aprili 7, 2022.
Rais wa Rwanda Paul Kagame (kushoto) na Mke wa Rais Jeannette Kagame (kulia) wakiwasha moto kwenye Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari ya Gisozi, mjini Kigali, Rwanda, Aprili 7, 2022. AFP - SIMON WOHLFAHRT
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.