Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Mauaji yaendelea DRC mbele ya kimya cha jumuia ya kimataifa, Vaudou danse ya Benin

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia filamu yenye maudhui kuhusu mapigano na mauaji ya raia katika nchi ya DRC lakini pia sehemu ya pili ya mahojiano na mwalimu wa fazihi za Ufaransa, mtunzi na mwalimu. Katika kipengee cha muziki utawasikiliza wanamuziki wa bendi lifahamikalo kama BIM, Benin International Musical pamoja na mambo mengineUngana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka katika makala hii.

Bendi la muziki kutoka Benin kwenye moja ya mitaa ya Cotonou 2019.
Bendi la muziki kutoka Benin kwenye moja ya mitaa ya Cotonou 2019. © alliance francaise Nairobi
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.