Pata taarifa kuu
Afrika Ya Mashariki

Harakati mpya za vikosi vya SADC mashariki ya DRC

Imechapishwa:

Vikosi vya SADC vinapelekwa mashariki mwa DRC kusaidia kurejesha amani. Hatua inayokuja baada ya kuondoka kwa vile vya Afrika Mashariki ambavyo vilituhumiwa na serikali ya Kinshasa kushindwa majukumu yao.

Vikosi vya SADC vimeanza shughuli ya kuwapeleka wanajeshi wake mashariki mwa DRC
Vikosi vya SADC vimeanza shughuli ya kuwapeleka wanajeshi wake mashariki mwa DRC © SADC
Vipindi vingine
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.