Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Rais wa zamani wa Liberia Charles Taylor akutwa na makosa ya uhalifu wa kivita aliyotenda nchini Sierra Leone wakati taharuki ikiendelea baina ya Sudan na Sudan Kusini

Imechapishwa:

Majaji wa Mahakama Maalum inayosikiliza Kesi za Mauaji ya Sierra Leone SCSL imemkuta na hatia ya makosa kumi na moja Rais wa zamani wa Liberia Charles Taylor, Hofu ya kutokea kwa vita kutokana na machafuko baina ya Sudan na Sudan Kusini imezidi kuongezeka licha ya juhudi zinazochukuliwa, Kampeni za Duru la Pili za Urais nchini Ufaransa zinazidi kushika kasi na Juhudi za Umoja wa Mataifa UN zaendelea ili kumaliza umwagaji damu uliodumu kwa karibu miezi kumi na tatu nchini Syria.

Rais wa zamani wa Liberia Charles Taylor akiwa kwenye Mahakama Maalum inayosikiliza Kesi za Mauaji ya Sierra Leone SCSL
Rais wa zamani wa Liberia Charles Taylor akiwa kwenye Mahakama Maalum inayosikiliza Kesi za Mauaji ya Sierra Leone SCSL
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.