Jukwaa la Michezo
Harambee Stars yaanza Mazoezi kujiandaa na CHAN na AFCON
Imechapishwa:
Cheza - 20:59
Jumla ya wachezaji 17 kati ya wachezaji 25 wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Harambee stars walifanya mazoezi yao ya kwanza siku ya Juamanne ya Februari 19 mwaka huu kujiandaa na mashindano ya taifa bingwa afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za nyumbani (CHAN) na ile ya klabu Bingwa barani afrika (AFCON).Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Jukwaa la Michezo na Fredrick Nwaka wakiangazia Michezo mbalimbali iliyochomoz`a kwa juma zima.