Pata taarifa kuu
DRC - Afya

WHO: Ebola yamalizika nchini DRC

Shirika la afya duniani WHO, limesema mlipuko wa ugonjwa wa Ebola ulioripotiwa nchini DRC, miezi mitatu iliopita umethibitiwa.

Mlipuko wa Ebola
Mlipuko wa Ebola REUTERS/Sergio Perez
Matangazo ya kibiashara

Watu wanne walifariki kutokana na mlipuko huo wa 14 kuripotiwa nchini DRC mwezi April eneo la Mbandaka, milipuko mengine ikiripotiwa tangu mwaka 1976.

WHO hata hivyo imesema inafuatalia mwenendo wa Ebola nchini DRC, huku ikipongeza mamlaka nchini DRC kwa kuwa mstari wa mbele kupambana na mlipuko huo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.