KENYA-AFYA
Tatizo la msongo wa mawazo miongoni mwa vijana nchini Kenya
Takwimu za Shirika la afya duniani WHO linaonesha kuwa hali ya binadamu kujitoa uhai inachangia wingi wa vifo vya vijana wendu duniani wenye umri wa kati ya miaka 15 hadi 29 chanzo kikubwa kikiwa ni msongo wa mawazo, visa ambavyo sasa vinaanza kushuhudiwa katika Kaunti ya Kwale, Pwani ya Kenya.Mwandishi wetu Carol Korir alizuru huko Kwale na kutuandalia taarifa ifuatayo.
Imechapishwa:
Dakika 2
Cheza - 01:49