Pata taarifa kuu
TANZANIA - AFYA

Tanzania - Raia hawazingatii masharti ya kudhibiti Covid-19

Raia nchini Tanzania, hawazingatii sheria za kuzuia maambukuzi ya virusi vya corona licha ya wito wa serikali kuwataka kujinga na virusi hivyo vya corona.Ni hapa jana tu ambapo rais Samia Suluhu Hassan, aliweka wazi kuwa taifa hilo lina wagonjwa 100 wa covid, 76 wakidaiwa kuwa katika hali mahututi.

Raia wa Tanzania hawazingatii masharti ya kudhibiti corona .
Raia wa Tanzania hawazingatii masharti ya kudhibiti corona . AFP - ERICKY BONIPHACE
Matangazo ya kibiashara

Steve Mumbi amezuru jiji la Dar es Salaam na kutuandalia ripoti hii.

01:42

STEVEN MUMBI HALI YA VIRUSI VYA CORONA NCHINI TANZANIA JUNI 29 2021

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.