Pata taarifa kuu
BRAZILI-CORONA-AFYA

Coronavirus: Vifo vipya 1,271 vyathibitishwa Brazil

Brazili imerekodi visa vipya 47.134 vilivyothibitishwa vya maambukizi ya virusi vya Corona na vifo vipya 1,271 vilivyotokea katika muda wa saa ishirini na nne zilizopita, Wizara ya Afya imesema.

razil ni nchi ya pili iliyoathirika zaidi na mgogoro wa kiafya unaosababishwa na virusi vya Corona baada ya Marekani, katika masuala ua maambukizi au vifo.
razil ni nchi ya pili iliyoathirika zaidi na mgogoro wa kiafya unaosababishwa na virusi vya Corona baada ya Marekani, katika masuala ua maambukizi au vifo. NELSON ALMEIDA / AFP
Matangazo ya kibiashara

Idadi ya visa vya maambukizi imepindukia zaidi ya Milioni 3.66 , na jumla ya vifo 116,580 vimethibitishwa, kulingana na takwimu za serikali.

Brazil ni nchi ya pili iliyoathirika zaidi na mgogoro wa kiafya unaosababishwa na virusi vya Corona baada ya Marekani, katika masuala ua maambukizi au vifo.

Mlipuko wa virusi vya Corona unaosababisha ugonjwa wa Covid-19, ulitokea katika mkoa wa Hubei nchini China mwishoni mwa mwezi Desemba 2019.

Kufikia sasa kinachojulikana ni kuwa Covid-19, ni ugonjwa ambao unaothiri mfumo wa kupumua wa binadamu.

Dalili zake ni pamoja na homa kali, kukohoa ambako baada ya wiki moja muathiriwa anakabiliwa na tatizo la kupumua.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.