Pata taarifa kuu
SUDAN-USALAMA WA CHAKULA

Sudan: Watoto laki tano wanakabiliwa na utapiamlo

Mamia ya watu nchini Sudan wakiwemo watoto karibu nusu milioni, wanakabiliwa na utapiamlo uliosababishwa na hali mbaya ya chakuma, UN ikionya kuhusu kutokea kwa janga kibinadamu.Huyu hapa mwandishi wetu wa masuala ya Sudan James Shimanyula…

Watoto laki tano wanakabiliwa na utapiamlo Sudan
Watoto laki tano wanakabiliwa na utapiamlo Sudan © World Food PRogramme, via Reuters
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.