SOMALIA- NJAA
Somalia: Watu zaidi ya Milioni nane wapo kwenye hatari ya kabiliwa na baa la njaa
Nchini Somalia, watu zaidi ya Milioni nane wapo kwenye hatari ya kuendelea kukumbwa na baa la njaa kutokana na uhaba wa chakula unaosababishwa na ukame mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka 40, na ambao umechangiwa na ukosefu wa mvua ya kutosha.
Imechapishwa: Imehaririwa:
Cheza - 01:34
Matangazo ya kibiashara
Hali hiyo pia imesababisha kupanda maradufu kwa bei ya vyakula katika taifa hilo la pembe ya Afrika.
Mengi zaidi na Mwandishi wetu James Shimanyula.