Pata taarifa kuu
Chad - Siasa

Chad: Makundi ya upinzani kushiriki mazungumzo ya amani

Vyama vya upinzani na makundi ya waasi nchini Chad, yamekubali kushiriki mazungumzo ya amani ya nchini Qatar, kinyume na misimamo yao ya awali.

Waasi wanadai ushindi katika Vita vya Zoer.
Waasi wanadai ushindi katika Vita vya Zoer. (Photo : Reuters)
Matangazo ya kibiashara

Mapema mwezi huu vyama hivyo vilijiondoa katika mazungumzo hayo, vikituhumu serikali ya kijeshi ya Chad kwa kuwanyanyasa na kuwatisha.

Rais wa mpito, Idris Deby, tayari ametangaza kuanza kwa mazungumzo ya kitaifa ambayo yametajwa kuwa sehemu muhimu kuelekea kuandaliwa kwa uchaguzi.

Kifo cha rais wa muda mrefu wa Chad Idris deby mwaka uliopita, litumbukiza taifa hilo kwa mgorogoro wa kisiasa.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.